Friday, 11 October 2013
READY TO GO
Mamu Africa Blog: FIFA YASEMA KOMBE LA DUNIA 2014 KAMA KAWAIDA BRAZI...: Katibu mkuu wa Shirikisho la sika la dunia Fifa ,Jerome Valcke amesema kombe la dunia 2014 zitafanyika nchini Brazil kama kawaida ja...
Stan Boi - Round and Round.
Just pongezi kwa ma man STAN BOI, mwanamuziki aliyechipukia kutoka kundi east coast under mtu mzima GK, hakiendeleza mashambulizi zaidi mbele keep it up boi ngoma kali sana
King of Ngoni - Nakuita Njoo ft Prence yahoo , Hot flava (www.pekuatz....
Hakiwa katika halakati za kufanya mapinduzi zaidi kwenye soko la muziki tanzania kijana ENOCK HAULE hali maarufu KING OF NGONI yupo tayari kuwarushia video yake mpya inayokwenda kama monday the new realise itakayosimamiwa na mtu mzima ABASI ADAM ndani ya SOUTH AFRICA usimisi kupata report zaidi ndani ya lukindo47 blogspot..., pamoko
NYOKA WA AJABU
Mr bean na vituo
New generation na elimu
Zama za enzi ilikuwa sio kawaida watu wa umri wa mdogo kufunzwa mambo ya kimaisha japo ni vizuri na kama wazazi o walezi tunashauriwa kuwapa mafunzo mapema watoto kwa ajili ya manufaa yao ya kesho kama vile elimu ya maisha' elimu ya dini na maswala mazima ya elimu juu ya mapenzi, sababu ya utandawazi watoto wengi wamekuwa wakijihusisha na mambo ya kimapenzi ktk umri mdogo na kusababisha mimba za mapema na malazi, sema kwa elimu hiii sasa ni kiboko mtoto mdogo mwenye umri wa kikadilia miaka 2 3 4 apewa jungu la ungali wa muhogo..duuuh mateso o mafunzo?
![]() |
shughulika mamaa |
Wednesday, 9 October 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)