Friday, 11 October 2013

New generation na elimu

Zama za enzi ilikuwa sio kawaida watu wa umri wa mdogo kufunzwa mambo ya kimaisha japo ni vizuri na kama wazazi o walezi tunashauriwa kuwapa mafunzo mapema watoto kwa ajili ya manufaa yao ya kesho kama vile elimu ya maisha' elimu ya dini na maswala mazima ya elimu juu ya mapenzi, sababu ya utandawazi watoto wengi wamekuwa wakijihusisha na mambo ya kimapenzi ktk umri mdogo na kusababisha mimba za mapema na malazi, sema kwa elimu hiii sasa ni kiboko mtoto mdogo mwenye umri wa kikadilia miaka 2 3 4 apewa jungu la ungali wa muhogo..duuuh mateso o mafunzo?
shughulika mamaa

No comments:

Post a Comment