Friday, 11 October 2013
King of Ngoni - Nakuita Njoo ft Prence yahoo , Hot flava (www.pekuatz....
Hakiwa katika halakati za kufanya mapinduzi zaidi kwenye soko la muziki tanzania kijana ENOCK HAULE hali maarufu KING OF NGONI yupo tayari kuwarushia video yake mpya inayokwenda kama monday the new realise itakayosimamiwa na mtu mzima ABASI ADAM ndani ya SOUTH AFRICA usimisi kupata report zaidi ndani ya lukindo47 blogspot..., pamoko
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment